Wednesday, 29 October 2014

UMOJA WA VYAMA VINAVYOUNDA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA) WASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO WA PAMOJA







WENYEVITI WA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA, JAMES MBATIA WA NCCR-MAGEUZI, IBRAHIM LIPUMBA WA CUF, FREEMAN MBOWE WA CHADEMA NA DR EMANUEL MAKAIDI WAKITIA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO WA PAMOJA KATIKA UWANJA WA JANGWANI DAR ES SALAAM
BAADHI YA WANACHAMA WA UKAWA WAKISHANGILIA UMOJA HUO
MWANASHERIA MKUU WA UKAWA TUNDU LISU AKIMTAMBULISHA ISMAIL JUSSA WA CUF
NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA KUTOKA ZANZIBAR AKIWAHUTUBIA WANANCHI
HII NI ISHARA YA CCM KWAHERI



No comments:

Post a Comment