Endelea hapa chini...
Kutoka kwa mtanganyika mwenzetu Ganja Planter;
Yaliyofanyika Kalenga siku ya uchaguzi hayasimuliki
wandugu... Baadhi ya watu wa Chadema waliokuwa huko na
wamefanikiwa kurudi salama wamesimulia huku wanalia unyama waliofanyiwa na
askari polisi, jeshi na usalama wa taifa wakiwa wameva nguo za kiraia na watu
wakiamini ni green guard.. Vijana mawakala na Red Brigade wakike na wa kiume
wametekwa na mitutu ya bastola, kubakwa na kufirwa, wamepigwa vibaya, wengine
wamekimbilia porini na hawajulikani walipo... Kilichoumiza zaidi ni namna Rose
Kamili alivyokuwa anapigwa mateke sehemu za siri... Kuna kisa cha walionusurika kuchomwa moto
msitu wa Nduli, mmoja alifanikiwa kuchomoka kwenye gari kupitia kwa dereva
akiwa amefungwa kamba watekaji walipomuita dereva nje wakitafuta mti wa
kuwafungia wawachome huku wanakidumu cha petrol tayari.. Walimtafuta msituni na
tochi hawakumuona kwa hiyo dili ya kuua ikawa imeishindikana na kumuachia yule
mwingine lakini akiwa amepigika haswaa!! Ni ukatili wa hali ya juu.
Mtanganyika mwingine kashuhudia haya;
Waliambiwa wafirane huku wakipigwa picha...walivuliwa
nguo zote...Mgimwa aliyetangazwa mbunge naye pia alikuwepo kushuhudia. Yote
yamefanyika ndani ya ofisi ya CCM Mkoa. Kwenye ofisi ya Katibu wa CCM. Mkiti wa
CCM alishuhudia pia. Yule mwarabu rafiki na mkwe wa Kikwete, mfadhili mkubwa wa
CCM hapa Iringa naye alishuhudia. Hadi jana usiku na leo mchana huu tumeweza
kuestablish very strong eyewitness evidences.
Kuna kila sababu ya mpenda maendeleo kuchora mstari na kusema inatosha.....
No comments:
Post a Comment